Msikiti wa Sultan Ahmed ni msikiti mashuhuri mjini Istanbul katika nchi ya Uturuki. Inajulikana pia kwa jina la "msikiti buluu" kutokana na rangi ya vigae vinavyopamba undani wake.
Mskiti wa Sultan Ahmed inapatikana wapi?
Ground Truth Answers: UturukiIstanbul katika nchi ya Uturukimjini Istanbul katika nchi ya Uturuki
Prediction: